Denis Suarez
Mchezaji wa soka wa Hispania
Denis Suarez Fernandez (alizaliwa 6 Januari 1994) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa FC Barcelona.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Denis Suarez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |