Deo Munishi
mchezaji wa mpira wa miguu
Deogratius Munishi (amezaliwa tarehe 16 Agosti 1990 katika jiji la Mwanza) ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza nafasi ya golikipa katika timu inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania ambayo ni Simba Sports Club.
Timu alizowahi kuchezeaEdit
Simba S.C.-2009-2011
Azam F.C.-2011-2013
Yanga Sc-2013-
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Deo Munishi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |