Diana Lucas Msewa

Mwanasoka wa Tanzania

Diana Lucas Msewa (amezaliwa 5 Novemba 2002) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake Ausfaz Assa Zag ya Morocco na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.

Diana Lucas Msewa
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 5 Novemba 2002 (2002-11-05) (umri 20)
Mahala pa kuzaliwa    Mbeya, Tanzania
Urefu 1.60 m (5 ft 3 in)
Nafasi anayochezea Mlengo wa kushoto

Kiungo Mshambuliaji Mshambuliaji

Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Ausfaz Assa Zag
Namba 7
Klabu za vijana
Panama Girls 2016-2018

Ruvuma Queens 2018-2021

Fountain Gate Princess 2021-2021

Ausfaz Assa Zag 2021-

Timu ya taifa
Twiga Stars

* Magoli alioshinda
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diana Lucas Msewa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.