Diana Veteranorum (leo hii kijiji kinaitwa Zana Ouled Sbaa) ulikuwa mji wa kale wa dola la Roma uliokaliwa na jamii ya Waberber nchini Algeria. Jiji hilo lilikuwa takribani kilomita 40 kaskazini magharibi mwa mji wa Lambaesis na kilomita 85 kusini-magharibi mwa mji wa Cirta.[1]

Magofu ya Diana Veteranorum
Ramani ya Algeria, ulipo mji wa Diana Veteranorum

Marejeo hariri

  1. Claude Lepelley: Rom und das Reich in der Hohen Kaiserzeit 44 v. - 260 n. Chr: Die Regionen des Reiches. Walter de Gruyter 2001, p. 91 (German)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Diana Veteranorum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.