Diboué Black

Mwanamuziki wa Kamerun

Ebenezer Diboué Black ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki wa nchini Kameruni. Pia ni mwandishi wa nyimbo na alitumbuiza nyimbo zake kwa lugha ya Kifaransa na kiduala. Anatambulika kama mmoja wapo wa maanzilishi wa muziki wa staili ya makossa.

Wasifu

hariri

Ebenezer Diboué Mpondo alizaliwa tarehe 16 Julai 1967 huko Douala nchini Kameruni katika makazi ya Akwa, Douala. Akiwa na umri wa miaka 10 alipewa jina la utani la Mevio. Mwaka 19801982, alitumbuiza katika bendi za wanamuziki chipukizi na kipaji chake kilijulikana na wanamuziki wenzake. Mwaka 1983, alitunga nyimbo yake ya kwanza ya kimahaba iitwayo Mbodji. Mwaka 1984, alifika Ufaransa na kuendelea na masomo yake katika tasnia ya muziki. Albamu yake ya kwanza It's not serious, iliachiliwa mwaka 1988 na ilikuwa fupi( ikiwa na nyimbo tano).[1]

Diskografia

hariri
  • 1988 : It's not Serious (Volume)
  • 1989 : The Roses of Life (Sonodisc)
  • 1996 : Wake up Africa (Socadisc)
  • 2000 : Africa Fiesta (Wagram Music)
  • 2003 : Positive Consciousness (Melodie)

Mikusanyiko

hariri
  • 1995 : Cameroon Connection (Sonodisc-TJR)
  • 1996 : Afric Panache (Sonodisc-TJR)
  • 1998 : Tropical Fever (Wagram Music / Epssy Record)
  • 1999 : African Dance Beat Volume I (Bell Hammer Musik / Germany)
  • 2000 : My Evening Zouk (Universal Music)
  • 2000 : Mega Africa (Wagram Music)
  • 2002 – 2003 : Africa All Stars Volume I na II (EMI-Virgin)
  • 2004: Tropical Heat (Sony BMG)
  • 2007: African Dance Beat Volume II (Hammer Musik-Germany)
  • 2003 : Colors of Africa (Atoll Music)
  • 2003 : Africa World Music (Music-Go)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diboué Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.