Diego Velázquez

(Elekezwa kutoka Diego Velazquez)

Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.

Velasquez alivyojichora mwenyewe mnamo 1630

Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.

Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.

Mifano ya taswira zake hariri

 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego Velázquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.