Directo Hasta Arriba

Directo Hasta Arriba ni jina la albamu ya kwanza ya rapa Dharius, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa 2014.

Directo Hasta Arriba
Albamu ya Dharius
Imerekodiwa 9 Desemba 2014
Lebo RCA Records
Sony Music
Wendo wa albamu za Dharius
Directo Hasta Arriba
(2014)
Mala Fama, Buena Vidha
(2018)

Nyimbo zakeEdit

 1. Estilo Malandro
 2. La Raja
 3. Internacional
 4. Homicidha (ameshirikisha. Revel Day, Billy Kent na Alkhol)
 5. Serenata Rap
 6. Lirica Onirica
 7. Directo Hasta Arriba
 8. Que Buen Fieston
 9. El After Porky
 10. La Vidha Loca (ameshirikisha. Sick Jacken)
 11. Por Alla Los Washo

MarejeoEdit

 1. https://musicworldmx.wordpress.com/2015/02/12/dharius-presenta-su-disco-debut-directo-hasta-arriba