Dharius
Msanii wa muziki
Alan Alejandro Maldonado Tamez (amezaliwa, 24 Septemba 1984) ni rapa wa Mexiko.
Dharius | |
---|---|
Amezaliwa | Septemba 24, 1984 |
Asili yake | Monterrey, Nuevo León, Mexiko |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Rapa |
Miaka ya kazi | 1996–hadi leo |
Studio | Babilonia Music Sony Music RCA Records |
Ame/Wameshirikiana na | Babo Cartel de Santa Tego Calderón Control Machete Pato Machete Fermín IV Cypress Hill B-Real Sen Dog DJ Muggs Artilleria Pesada Delinquent Habits Kinto Sol Akwid C-4 Dyablo Locura Terminal Alemán Young CK Zimple Big Flow Music Tren Lokote |
Alikuwa katika kikundi Cartel de Santa.
Albamu
hariri- 2014: Directo Hasta Arriba
- 2018: Mala Fama, Buena Vidha
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti Binafsi ya Dharius Ilihifadhiwa 17 Mei 2017 kwenye Wayback Machine.
- Dharius Ndani ya AllMusic