Distruction Boyz
Distruction Boyz ni kikundi cha wanamuziki[1] wawili wa muziki wa Gqom kutoka mjini Durban, nchini Afrika kusini, ambacho kinahusisha wanamuziki Thobani “Que” Mgobhozi na Zipho “Goldmax” Mthembu.[2] Albumu yao wote wawili ya Gqom Is the Future ambayo ikimaniisha Gqom ndio ya kesho ilitunukiwa tuzo ya dhahabu na RISA na kuwa album ya kwanza ya Gqom kupata tuzo hii.[3]
Marejeo
hariri- ↑ Excel (2021-05-24). "Distruction Boyz Biography, Career, Songs & Net Worth". SA Online Portal (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-15. Iliwekwa mnamo 2022-04-24.
- ↑ https://www.sowetanlive.co.za/sundayworld/lifestyle/2017-12-19-distruction-boyzs-album-goes-gold/
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Distruction Boyz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |