Djimon Gaston Hounsou (amezaliwa tar. 24 Aprili 1964) ni mshindi wa Tuzo ya Academy akiwa kama mwigizaji bora wa [[filamu]] dansa na mwanamitndo wa [[kiume]] kutoka nchini Benin. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Solomon Vandy kutoka katika filamu ya Blood Diamond aliyocheza na nyota Leonardo DiCaprio, vilevile Juba kutoka katika filamu ya Gladiator aliyocheza na nyota Russell Crowe.

Djimon Hounsou
Djimon mnamo 2013
Djimon mnamo 2013
Jina la kuzaliwa Djimon Gaston Hounsou
Alizaliwa 24 Aprili 1964
Cotonou, Benin
Kazi yake Mwigizaji
Mwanamitindo
Dansa

Filamu alizocheza Djimon Hounsou

hariri
  • Without You I’m Nothing (1990)
  • Unlawful Entry (1992)
  • Stargate (1994) (as "Djimon")
  • The Small Hours (1997)
  • Amistad (1997)
  • Ill Gotten Gains (1997)
  • Deep Rising (1998)
  • Gladiator (2000)
  • The Middle Passage (2000) (documentary)
  • The Tag (2001)
  • Dead Weight (2002)
  • The Four Feathers (2002)
  • In America (2002)
  • Heroes (2002) (short subject)
  • Biker Boyz (2003)
  • Lara Croft Tomb Raider: The Cradle of Life (2003)
  • Alias (2004) (season 3, Mr Bomani)
  • Blueberry (2004)
  • Constantine (2005)
  • Beauty Shop (2005)
  • The Island (2005)
  • Blood Diamond (2006)
  • Eragon (2006)
  • Never Back Down (2008)
  • Push (2008)

Filamu zijazo

hariri
  • The Trunk (2007)
  • God of War (Haijakamilka bado) (2008)
  • Constantine 2 (2009)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Djimon Hounsou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.