24 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Aprili ni siku ya 114 ya mwaka (ya 115 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 251.
Matukio
hariri- 1585 - Uchaguzi wa Papa Sixtus V
Waliozaliwa
hariri- 1581 - Mtakatifu Vinsenti wa Paulo, padri Mkatoliki kutoka Ufaransa
- 1845 - Carl Spitteler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1919
- 1905 - Robert Penn Warren, mwandishi kutoka Marekani
- 1908 - George Oppen, mshairi kutoka Marekani
- 1942 - Barbra Streisand, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1947 - Roger Kornberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2006
- 1964 - Djimon Hounsou, mwigizaji filamu kutoka Benin
- 1976 - Afande Sele, mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1622 - Mtakatifu Fidelis wa Sigmaringen, padri na mfiadini Mfransisko kutoka Ujerumani
- 1947 - Willa Cather, mwandishi kutoka Marekani
- 1960 - Max von Laue, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1914
- 1964 - Gerhard Domagk, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939
- 1993 - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 2009 - Phares Kashemeza Kabuye, mwanasiasa kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fidelis wa Sigmaringen, Maria wa Kleopa, Salome, Aleksanda wa Lyon, Antimo na wenzake, Gregori wa Elvira, Deodato wa Blois, Melitus wa Canterbury, Vilfridi wa York, Egbati wa Iona, Wiliamu Firmati, Maria Pelletier, Benedikto Menni, Maria Elizabeti Hesselblad n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |