Dongye ilikuwa nchi iliochukua sehemu za kaskazini-mashariki mwa Peninsula ya Korea kuanzaia 150  KK hadi kunako 400 CE. Imepakana na Goguryeo na Okjeo kwa upande wa kaskazini, Jinhan upande wa kusini, na Lelang Commandery ya China kwa upande wa magharibi. Leo hii, eneo hili lina mikoa ya Hamgyŏng Kusini na Kangwon nchini Korea Kaskazini, na Gangwon nchini Korea Kusini.

Dongye

Tazama pia

hariri