Donna Tartt (amezaliwa 23 Desemba 1963) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2014, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Goldfinch.

Donna Tartt


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donna Tartt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.