Doreen Kilimbe (Doddo) (alizaliwa mkoa wa Mwanza, 9 Novemba 1996) ni mtunzi na mwandishi wa miswada ya filamu na vipindi vya runinga nchini Tanzania. [1]

Historia

hariri

Doreen alisoma shahada ya uhasibu Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)[2] pia alipata mafunzo ya utengenezaji filamu kutoka Chuo cha Multichoice Talent Factory nchini Kenya mwaka 2022 [3].

Filamu alizoandika

hariri
  1. Cheza[4]
  2. Eastzuu
  3. The Midnight Bride[5]

Alizoshiriki kama msimamizi Mswada

hariri
  1. Cheza[6]
  2. Stinger[7]
  3. Mke mwenza

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doreen Kilimbe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.