Doria Shafik
Mwanaharakati wa Misri
Doria Shafik (kwa Kiarabu: درية شفيق; 14 Desemba 1908 – 20 Septemba 1975) alikuwa mwanaharakati, mshairi na mhariri wa Misri, na mmoja kati ya viongozi wakuu walioongoza harakati za ukombozi wa wanawake nchini katikati ya miaka ya 1940.[1] Matokeo ya moja kwa moja ya juhudi zake ulipelekea wanawake wa Misri kuruhusiwa kupiga kura kupitia katiba ya nchi.
Doria Shafik | |
Amezaliwa | 14 Decemba 1908 Misri |
---|---|
Amekufa | 20 Septemba 1975 |
Nchi | Misri |
Kazi yake | Mwanaharakati , Mshairi , mhariri |
Marejeo
hariri- ↑ Smith, Bonnie G. (2008). The Oxford Encyclopedia of Women in World History (kwa Kiingereza). Oxford University Press. ISBN 978-0-19-514890-9.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Doria Shafik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |