1908
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1904 |
1905 |
1906 |
1907 |
1908
| 1909
| 1910
| 1911
| 1912
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1908 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 22 Januari - Lev Landau, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962
- 4 Aprili - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda
- 20 Aprili - Lionel Hampton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Aprili - George Oppen, mshairi kutoka Marekani
- 23 Mei - John Bardeen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972
- 25 Mei – Theodore Roethke, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954
- 30 Mei - Hannes Alfven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 8 Julai - Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani
- 6 Agosti - Will Lee, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Agosti - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-69)
- 31 Agosti - William Saroyan, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa
- 23 Oktoba - Ilya Frank, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 13 Novemba – Comer Vann Woodward, mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1982
- 4 Desemba - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 17 Desemba - Willard Libby, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960
Waliofariki
hariri- 21 Juni - Nikolai Rimsky-Korsakov, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 24 Juni - Grover Cleveland, Rais wa Marekani (1885-1889; 1893-1897)
- 22 Julai - Randal Cremer, kiongozi Mwingereza wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1903
- 25 Agosti - Antoine Henri Becquerel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1903
Wikimedia Commons ina media kuhusu: