Dr. Giggles (ikimaanisha daktari anayecheka) ni filamu ya Marekani iliyoanzishwa mwaka 1992 inayohusu Daktari Evan Rendell ambaye wagonjwa wake walikuwa wakipotea bila taarifa yoyote. Watu wa mji huo wakagundua kwamba alikuwa anaitoa mioyo ya wagonjwa wake katika kujaribu kumrudisha mke aliyekuwa amekufa kwasababu ya tatizo la moyo kwahiyo alikuwa anajaribu kumuweka mioyo ya wagonjwa wake ili mke wake apone lakini alishindwa. Baada ya watu kugundua walimpiga mpaka kufa lakini pia walitaka kumuua na mtoto wake ambaye alikuwa anaitwa Evan Junior; hawakumuona kwa hiyo wakajua na yeye atakuwa amekufa mtoto huyu alikuwa anaupenda sana udaktari hata akawa anifanyia midori yake upasuaji. Baada ya watu wa mtaa ule kumkosa wakaachana naye baada ya miaka mingi Evan Junior alikuwa hakubaatika kuwa daktari lakini alikuwa dakari feki ambapo alikuwa anawaua watu ili kulipiza kifo cha baba yake Daktari Evan Rendell.Pia kwenye filamu hii kuna mtu aiitwaye Jennifer Campbell ambaye alikuwa na matatizo ya moyo kama ya mke wake Evan Rendell ambapo Evan Junior ambaye anatambulika kwa jina la Daktari Giggles ikimaanisha daktari anaye cheka alitamani kufanya kitu ambacho baba yake alishindwa ambacho ni kubadilisha moyo na hatimaye kumsaidia tatizo lake la moyo lakini Jennifer alikuwa anaogopa kwamba atauliwa naye lakini baadaye daktari anayecheka anampata jennifer na kubadilisha moyo wake na kutimiza kitu ambacho baba yake alishindwa.

Waigizaji hariri

  • Larry Drake kama Doctor Evan Rendell Jr. / Dr. Giggles
  • Holly Marie Combs kama Jennifer Campbell
  • Cliff DeYoung kama Tom Campbell
  • Glenn Quinn kama Max Anderson
  • Keith Diamond kama Officer Joe Reitz
  • Michelle Johnson kama Tamara
  • John Vickery kama Dr. Chamberlain
  • Nancy Fish kama Elaine Henderson
  • Doug E. Doug kama Trotter
  • William Dennis Hunt kama Dr. Evan Rendell Sr.
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dr. Giggles kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.