Drona (filamu ya 2008)
(Elekezwa kutoka Drona (2008 film))
Drona ni filamu ya Uhindi ya mwaka 2008 iliyoongozwa na Goldie Behl. Wahusika wakuu katika filamu hii ni Abhishek Bachchan, Priyanka Chopra, Kay Kay Menon na Jaya Bachchan.
Wahusika
hariri- Abhishek Bachchan kama Aditya (Drona).
- Priyanka Chopra kama Sonia.
- Kay Kay Menon kama Riz Raizada.
- Jaya Bachchan kama Malkia Jayanti.
- Conan Stevens kama Pepo.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Drona (filamu ya 2008) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |