Dubwana-Gila
Dubwana-Gila (Heloderma suspectum)
Dubwana-Gila (Heloderma suspectum)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Anguimorpha
Familia ya juu: Varanoidea (Mijusi kama kenge)
Familia: Helodermatidae (Mijusi-shanga)
Jenasi: Heloderma
Spishi: H. suspectum

Dubwana-Gila (Heloderma suspectum) ni mjusi mkubwa mwenye sumu wa Marekani na Mexiko. Ana magamba ya rangi ya machungwa, njano na nyeusi.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dubwana-Gila kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.