Dunstan Daniel Mkapa

Dunstan Daniel Mkapa (amezaliwa tar. 20 Septemba 1948) ni mbunge wa jimbo la Nanyumbu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Dunstan Daniel Mkapa". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.