Dwayne De Rosario
Dwayne Anthony De Rosario (alizaliwa 15 Mei 1978) ni mchezaji wa zamani wa soka wa Kanada, ambaye alicheza kama mshambuliaji au kama kiungo mshambuliaji. Mshambuliaji mwenye ufanisi mwingi, alicheza kwa klabu za Toronto Lynx, FSV Zwickau na Richmond Kickers mwanzoni mwa taaluma yake. Alijulikana zaidi katika miaka ya 2000 alipocheza katika Ligi kuu ya soka kwa klabu za San Jose Earthquakes, Houston Dynamo, Toronto FC, New York Red Bulls na D.C. United. Mshindi mara nne wa MLS Cup, pia alishinda tuzo ya MVP. Yeye ni mchezaji wa tisa kwa idadi ya magoli katika historia ya MLS akiwa na magoli 104.[1] He is widely regarded as one of the greatest and most decorated Canadian players of all time.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "All-Time Stats | MLSsoccer.com". Iliwekwa mnamo Aprili 8, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Association Announces All-Time Canada XI – Men's Team", June 3, 2012. (en)
- ↑ "Canada Soccer Hall of Fame welcomes". Canada Soccer. 19 Machi 2024. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dwayne De Rosario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |