EIA ni kifupisho cha environmental impact assessment yaani tathmini ya athari kwa mazingira. Hiyo inahusu kuchunguza utendaji wa binadamu unavyoweza kuathiri mazingira yake yote ili kukwepa uharibifu wa mazingira.

"Jiwe La Bluu" ni picha maarufu ya Dunia iliyopigwa mnamo Desemba 7, 1972, na wafanyikazi wa chombo cha angani cha Apollo 17 kilichokuwa kikienda Mwezi kwa umbali wa kilometa kama 29,000 (18,000 mi). Inaonyesha Afrika, Antaktika, na Peninsula ya Arabia.

Marejeo

hariri
  • Petts, J. (ed), Handbook of Environmental Impact Assessment Vol 1 & 2, Blackwell, Oxford ISBN 0-632-04772-0
  • Environmental Impact Assessment Review (1980 - ), Elsevier
  • Glasson, J; Therivel, R; Chadwick A, Introduction to Environmental Impact Assessment, (2005) Routledge, London
  • Carroll, B. and Turpin T. Environmental impact assessment handbook, second edition (2009) Thomas Telford Ltd, ISBN 978-0-7277-3509-6
  • Hanna, k; Environmental Impact Assessment: Practice and Participation" (2009)Second edition, Oxford
  • Impact Assessment: Unintended Consequences of Green Technologies A University of California, Berkeley overview of unintended impacts of green energy technologies and practices

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu "EIA" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.