Eddie Anaclet
Mchezaji wa soka Tanzania
Eddie Anaclet (alizaliwa 31 Agosti 1985), ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania aliyehamia Uingereza. Aliwahi kuichezea klabu ya Brackley Town.
Viungo vya nje
hariri- (en:) Takwimu za Soccerbase kuhusu Anaclet Ilihifadhiwa 10 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eddie Anaclet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |