Edward Adelbert Doisy
Edward Adelbert Doisy (13 Novemba 1893 – 23 Oktoba 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa homoni mbalimbali na vitamini K. Mwaka wa 1943, pamoja na Henrik Dam alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Adelbert Doisy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |