Edward H.Adams alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu na kocha wa mpira wa kikapu.

Wasifu wake hariri

Adams alizaliwa Agosti 17,1910 huko Louisiana. Alikuwa mtoto wa Martha and P.Adams aliyekuwa mwanzilishi na Rais wa chuo cha Grambling. Alisoma katika chuo cha Tuskegee University. Adams amewahi kuwa kocha mkuu wa mpira wa miguu katika chuo cha watu wenye asili ya weusi cha North Carolina College[1] ambacho kwasasa kinajulinana kama North Carolina Central University

Marejeo hariri

  1. Carolina College