Edward Michael Deliman
Edward Michael Deliman (alizaliwa 4 Machi 1947) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani ambaye alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Philadelphia, Pennsylvania kutoka mwaka 2016 hadi 2022.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Bishop Edward Michael Deliman [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2023-01-22.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |