1947
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| ►
◄◄ |
◄ |
1943 |
1944 |
1945 |
1946 |
1947
| 1948
| 1949
| 1950
| 1951
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1947 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 15 Januari - Martin Chalfie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 29 Januari - Linda Buck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2004
- 4 Februari - Dan Quayle, Kaimu Rais wa Marekani
- 12 Machi - Mitt Romney, mwanasiasa kutoka Marekani
- 25 Machi - Elton John, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 26 Machi - Subhash Kak, mwanafizikia na mwandishi kutoka Uhindi
- 5 Aprili - Gloria Arroyo, Rais wa Ufilipino
- 13 Aprili - Rae Armantrout, mshairi kutoka Marekani
- 18 Aprili - James Woods, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 24 Aprili - Roger Kornberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2006
- 28 Aprili - William Shija, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 8 Mei - Robert Horvitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002
- 9 Mei - Michael Levitt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2013
- 8 Juni - Eric Wieschaus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 20 Julai - Gerd Binnig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986
- 30 Julai - Françoise Barré-Sinoussi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 31 Julai - Richard Griffiths, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 7 Agosti - Sofia Rotaru, mwimbaji wa Urusi
- 3 Septemba - Kjell Magne Bondevik, Waziri mkuu wa Norwei (1997-2000; 2001-2005)
- 8 Septemba - Amos Biwott, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya
- 20 Septemba - Juma Jamaldin Akukweti, mwanasiasa wa Tanzania
- 1 Oktoba - Aaron Ciechanover, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 3 Oktoba - Feetham Filipo Banyikwa, mwanasiasa wa Tanzania
- 26 Oktoba - Hillary Clinton, Seneta wa jimbo la New York, Marekani
- 13 Novemba - Joe Mantegna, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 8 Desemba - Thomas Cech, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
bila tarehe
- Remmy Ongala, mwanamuziki wa Tanzania
- William Shija, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 12 Aprili - Louis Leipoldt, mwandishi wa Afrika Kusini
- 24 Aprili - Willa Cather, mwandishi kutoka Marekani
- 16 Mei - Frederick Hopkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929
- 20 Mei - Philipp Lenard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905
- 24 Septemba - Andrew C. McLaughlin, mwanahistoria kutoka Marekani
- 4 Oktoba - Max Planck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918
- 7 Desemba - Nicholas Butler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931
Wikimedia Commons ina media kuhusu: