Edward Norton

Edward Harrison Norton (amezaliwa tar. 18 Agosti 1969)[1] ni mshindi wa Tuzo ya Akademi na Golden Globe kwa mwaka wa 1997, akiwa kama mwigizaji na mtayarishaji bora wa filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuceheza katika filamu ya Primal Fear, American History X, Fight Club, The Italian Job, na The Incredible Hulk.

Edward Norton
Edward Norton 2012.jpg
E. Norton mnamo Machi 2012
Amezaliwa Edward Harrison Norton
18 Agosti 1969 (1969-08-18) (umri 51)
Boston, Massachusetts, Marekani Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Mwongozaji
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 1994-hadi leo

MarejeoEdit

  1. Edward Norton - Frequently Asked Questions. Iliwekwa mnamo 2006-12-19.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Norton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.