Edward Lawrie Tatum (14 Desemba 19095 Novemba 1975) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya jeni na vimeng’enya. Mwaka wa 1958, pamoja na George Beadle na Joshua Lederberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Edward Lawrie Tatum


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Tatum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.