Jeni
Jeni (pia kinasaba; kwa Kiingereza "gene", kutoka Kigiriki γόνος, gonos, yaani uzao) ni sehemu kwenye DNA. DNA ni mkusanyiko wa taarifa za kemikali ambazo hubeba maelekezo kwa ajili ya kutengeneza protini kwenye seli. Kila jeni au kinasaba hubeba habari zinazothibiti tabia za binadamu na kila kiumbehai (kama vile wanyama na mimea) zilizopokewa kutoka wazazi kama vile mwonekano, jinsia na maumbile yote.
Kila jeni ina seti moja ya maelekezo. Maelekezo hayo kawaida ni msimbo wa protini fulani.
DNA ya binadamu huwa na jeni takribani 27,000. Nusu ya jeni ya mtu hutoka kwa mama. Nusu nyingine hutoka kwa baba.
Tanbihi
Marejeo
- Watson, James D.; Baker, Tania A.; Bell, Stephen P.; Gann, Alexander; Levine, Michael; Losick, Richard (2013). Molecular Biology of the Gene (tol. la 7th). Benjamin Cummings. ISBN 978-0-321-90537-6.
{{cite book}}
: Unknown parameter|name-list-format=
ignored (|name-list-style=
suggested) (help) - Dawkins, Richard (1990). The Selfish Gene. Oxford University Press. ISBN 0-19-286092-5.
{{cite book}}
: Unknown parameter|name-list-format=
ignored (|name-list-style=
suggested) (help) Google Book Search; first published 1976. - Ridley, Matt (1999). Genome: The Autobiography of a Species in 23 Chapters. Fourth Estate. ISBN 0-00-763573-7.
{{cite book}}
: Unknown parameter|name-list-format=
ignored (|name-list-style=
suggested) (help) - Brown, T (2002). Genomes (tol. la 2nd). New York: Wiley-Liss. ISBN 0-471-25046-5.
Viungo vya nje
- Comparative Toxicogenomics Database
- DNA From The Beginning – a primer on genes and DNA
- Entrez Gene – a searchable database of genes
- IDconverter – converts gene IDs between public databases Ilihifadhiwa 29 Septemba 2020 kwenye Wayback Machine.
- iHOP – Information Hyperlinked over Proteins Ilihifadhiwa 17 Oktoba 2005 kwenye Wayback Machine.
- TranscriptomeBrowser – Gene expression profile analysis Ilihifadhiwa 20 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- The Protein Naming Utility, a database to identify and correct deficient gene names Archived 2012-12-21 at Archive.today
- Genes – an Open Access journal
- IMPC (International Mouse Phenotyping Consortium) – Encyclopedia of mammalian gene function
- Global Genes Project – Leading non-profit organization supporting people living with genetic diseases
- ENCODE threads Explorer Characterization of intergenic regions and gene definition. Nature
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |