Edward Wilmot Blyden
Edward Wilmot Blyden (1832-1912) alikuwa mwalimu, mwandishi, balozi na mwanasiasa nchini Liberia. Alizaliwa visiwa vya Karibi. Aliandika kuhusu Muungano wa Afrika.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Wilmot Blyden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |