Edwin Arlington Robinson

Edwin Arlington Robinson (22 Desemba 18696 Aprili 1935) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara tatu: 1922, 1925, na 1928.

Edwin Arlington Robinson
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin Arlington Robinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.