Efate
Efate ni kisiwa cha Vanuatu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Epi. Eneo la kisiwa ni 899 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Port Vila ambayo pia ni mji mkuu wa Vanuatu. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 65,829. Lugha za asili ambazo huzungumzwa kisiwani kwa Efate ni Kiefate-Kaskazini, Kiefate-Kusini na Kieton.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|