Kieton (Vanuatu)
Kieton ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waeton kwenye kisiwa cha Efate. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kieton imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieton iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kieton kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kieton Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kieton katika Glottolog
- lugha ya Kieton kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kieton (Vanuatu) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |