Ehis D'Greatest
Israel Ehinomen Okosun (kwa jina la kisanii Ehis D'Greatest; alizaliwa 23 Januari 2002) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Official Afrobeats Chart on 7/1/2024". Official Charts (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ehis D'Greatest kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |