Jina la kisanii ni jina la mburudishaji kama vile nyota wa filamu au mwanamuziki. Jina linachukua nafasi baada ya jina kamili la kuzaliwa. Pia, wasanii wanaweza kupenda majina yao ya kisanii kuliko majina yao ya kuzaliwa kwa sababu ni rahisi kwa mshabiki kukumbuka.

Marlyn Monroe

Wanamieleka wenyetaaluma, nao hutumia majina ya kisanii. Lakini wao wanatumia tofauti kidogo na wa muziki au filamu - wao huita "Ring name" yaani "Jina la ulingoni".

  • Tazama mifano ya majina halisi na ya kisanii:
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jina la kisanii kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.