Elementi za kundi la 3
(Elekezwa kutoka Elementi ya kundi la 3)
Elementi za kundi la 3 ni kikundi kwenye jedwali la elementi au mfumo radidia
Ni mojawapo ya vikundi 18 kwenye mfumo radidia . Elementi za kikundi hiki ni pamoja na:
- Skandi
- Ytri
- Luteti (au lanthani )
- Laurenti (au aktini )
Elementi mbili za kwanza za kundi hili zinaeleweka, lakini kuhusu mbili zinazofuata kuna tofauti ya maoni kati ya wataalamu.
Kikundi hiki kinaitwa kundi la I - {IIIB} - la elimenti.
-
Skandi
-
Ytri
-
Lanthani