Lanthani ni elementi ya kikemia yenye alama ya La. Namba atomia ni 57. Ni sehemu ya kundi la elementi za Lanthanidi ikihesabiwa kati ya ardhi adimu. Rangi yake ni kidhahabu - nyeupe, lakini hewani inapata haraka ganda la oksidi lenye rangi ya kijivu. Ni laini na inaweza kukatwa kwa kisu.

Lanthani (Lanthanum)
Jina la Elementi Lanthani (Lanthanum)
Alama La
Namba atomia 57
Uzani atomia 138.905
Valensi 2, 8, 18, 18, 9, 2
Densiti 6.126 g/cm3
Ugumu (Mohs) 2.5
Kiwango cha kuyeyuka 1193 K (920 °C)
Kiwango cha kuchemka 3737 K ​(3464 °C)
Asilimia za ganda la dunia 17 ppm
Hali maada mango

Jina linatokana na Kigiriki λανθάνειν lanthanein (kuficha) kwa sababu wanakemia walioitambua katika karne ya 19 waliona ugumu kuitenganisha na madini mengine.

Kuna matumizi ya lanthani katika teknolojia mbalimbali:

Marejeo hariri

  1. As hybrid cars gobble rare metals, shortage looms, tovuti ya Reuters, August 31, 2009

Viungo vya nje hariri

  • The Industrial Chemistry of the Lanthanons, Yttrium, Thorium and Uranium, by R. J. Callow, Pergamon Press, 1967
  • Extractive Metallurgy of Rare Earths, by C. K. Gupta and N. Krishnamurthy, CRC Press, 2005
  • Nouveau Traite de Chimie Minerale, Vol. VII. Scandium, Yttrium, Elements des Terres Rares, Actinium, P. Pascal, Editor, Masson & Cie, 1959
  • Chemistry of the Lanthanons, by R. C. Vickery, Butterworths 1953
  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lanthani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.