Elena Sharoykina (alizaliwa mnamo 1979), ni mwandishi wa habari, mtaalam wa mawasiliano ya kijamii, mtaalam wa ushauri wa kampuni na mwanaharakati wa mazingira nchini Urusi. Yeye ni mkurugenzi wa Chama cha National Association for Genetic Safety(Moscow), na mkurugenzi wa chaneli ya Runinga ya Urusi Tsargrad. Kuanzia mwaka 2020 amekuwa mwanachama aliyeteuliwa na Putin wa Chumba cha Kiraia cha Shirikisho la Urusi.[1]

Elena Sharoykina

Elimu na Kazi

hariri

Sharoykina alihitimu elimu ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Oles Honchar Dnipropetrovsk. Utaalam wake mkuu ni uandishi wa habari wa TV. Alianza kazi ya kitaaluma nchini Ukraine kama mwandishi wa habari wa bunge na mwandishi wa vipindi kadhaa vya TV kuhusu matatizo ya kisiasa na kijamii.[2]

Marejeo

hariri
  1. "OPRF - the list members of chamber (2020 year)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-02. Iliwekwa mnamo 2023-06-12.
  2. "PROBA-IPRA Golden World Awards | SHORT-LIST 2006". pr-proba.ru. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-25. Iliwekwa mnamo 2016-03-10. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elena Sharoykina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.