Elfu moja na moja

Elfu moja na moja ni namba inayoandikwa 1001 (moja sifuri sifuri moja) kwa tarakimu za kawaida, ila kwa namba za Kirumi MI tu.

Ni namba asilia inayofuata 1000 na kutangulia 1002.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 7 x 11 x 13.[1]

MatumiziEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elfu moja na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.