Moja ni namba ya kwanza na inafuatwa na mbili. Kabla yake kuna sifuri tu. Kwa kawaida inaandikwa 1 lakini I kwa namba za Kiroma na ١ kwa zile za Kiarabu. Namba yoyote ikizidishwa kwa moja inabaki ileile.

Mabadiliko katika namna ya kuandika moja.

Marejeo

hariri
hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.