Eli H. Janney
Mhandisi wa mitambo wa Amerika
Eli Hamilton Janney (Novemba 12, 1831 – Juni 16, 1912) alikuwa mvumbuzi wa kifaa cha kushikilia magari ya reli kilichojulikana kama knuckle coupler ambacho kilichukua nafasi ya kushikilia magari kwa kutumia link na pin kwenye reli za Amerika Kaskazini.[1]
Marejeo
hariri- ↑ White, John H. Jr. (2007-02-19). "The Strongest Handshake in the World". American Heritage. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-19. Iliwekwa mnamo 2018-11-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eli H. Janney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |