1912
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| ►
◄◄ |
◄ |
1908 |
1909 |
1910 |
1911 |
1912
| 1913
| 1914
| 1915
| 1916
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1912 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 8 Januari - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 21 Januari - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 30 Januari - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 12 Februari - Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy, mwanahistoria kutoka Zanzibar
- 19 Aprili - Glenn Seaborg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 22 Mei - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 27 Mei – John Cheever, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979
- 28 Mei - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973
- 30 Mei - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 12 Julai - Kardinali Laurean Rugambwa wa Dar es Salaam
- 13 Agosti - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 30 Agosti - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 24 Septemba - Robert Lewis Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Papa Yohane Paulo I (kwa jina la Albino Luciani)
- 19 Novemba - George Palade, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 30 Novemba - Gordon Parks, msanii wa Marekani
bila tarehe
- Abdallah Rashid Sembe, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 20 Aprili - Bram Stoker, mwandishi kutoka Ireland
- 20 Mei - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
- 12 Juni - Frederic Passy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901
- 30 Juni - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 6 Oktoba - Auguste Beernaert, mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909
- 30 Oktoba - James Sherman, Kaimu Rais wa Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: