Elijah Motonei Manangoi (alizaliwa 5 Januari 1993) ni mwanariadha wa Kenya wa mbio za kati. [1] Alishiriki katika mbio za mita 1500 kwenye Mashindano ya Dunia ya Riadha mwaka 2015 huko Beijing akishinda medali ya fedha na katika Mashindano ya Dunia ya 2017, ambapo alishinda medali ya dhahabu.

Manangoi alitajwa kuwa miongoni mwa Waafrika 100 walio na ushawishi mkubwa zaidi na Jarida jipya la Kiafrika mwaka wa 2017.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Elijah Motonei Manangoi". IAAF. 30 Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. fadamana (7 Desemba 2017). "100 Most Influential Africans: Ten Kenyans Including CJ David Maraga Listed". Answers Africa (kwa American English). Iliwekwa mnamo 5 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elijah Manangoi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.