5 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Januari ni siku ya tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 360 (361 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1846 - Rudolf Christoph Eucken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1908
- 1874 - Joseph Erlanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
- 1926 - W. D. Snodgrass, mshairi kutoka Marekani
- 1928 - Walter Mondale, Kaimu Rais wa Marekani
- 1938 - Ngugi wa Thiongo, mwandishi Mkenya
Waliofariki
hariri- 1066 - Mtakatifu Edward Muungamaji, Mfalme wa Uingereza
- 1933 - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 1970 - Max Born, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 1979 - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 1981 - Harold Urey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1934
- 2010 - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sinkletika wa Aleksandria, Deogratias wa Karthago, Emiliana wa Roma, Konvoyone, Edwadi Muungamadini, Gerlako, Yohane Nepomuseni Neumann, Karoli wa Mlima Argus, Genoveva Torres Morales n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |