Elijah Muhammad

Elijah Muhammad (amezaliwa na jina la Elijah Robert Poole; 7 Oktoba, 1897 – 25 Februari, 1975) alikuwa kiongozi wa kidini ambaye aliongoza shirika la Nation of Islam (NOI) kuanzia 1934 hadi kifo chake mnamo mwaka wa 1975. Huyu ndiye mnasihi mkubwa wa Malcolm X, Louis Farrakhan, Muhammad Ali, na mtoto wake Warith Deen Mohammed.

Elijah Muhammad

Muhammad speaking in 1964.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

JisomeeEdit

  • Berg, Herbert. Elijah Muhammad and Islam (NYU Press, 2009)
  • Clegg, Claude Andrew. An original man: The life and times of Elijah Muhammad (Macmillan, 1998)
  • Walker, Dennis. Islam and the Search for African American Nationhood: Elijah Muhammad, Louis Farrakhan, and the Nation of Islam (1995) online

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: