Elimu ya bahari (Kiing. oceanography) ni tawi la sayansi linalohusu utafiti wa bahari za Dunia. Utafiti huu unaangalia mikondo ya bahari, mawimbi, halijoto, jiolojia ya sakafu ya bahari, lakini pia ekolojia yaani hali ya viumbehai na mazingira yao ndani ya bahari

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

hariri