Elinor D. Gregg (pia alijulikana kama Elinor Delight Gregg; Mei 31, 188631 Machi 1970) alikuwa muuguzi wa umma kutoka Marekani. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa uuguzi wa viwandani.[1]

Elinor D. Gregg

Marejeo

hariri
  1. Pennock, Meta Rutter (1940). Makers of Nursing History. Chicago, Illinois: Lakeside publishing Company. uk. 65. ISBN 978-0-814-21050-5. Iliwekwa mnamo Aprili 9, 2023.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elinor D. Gregg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.