Elizabeth Itotia
Elizabeth Wangari Itotia (amezaliwa 1992), ni mtaalamu wa famasia ya nyuklia kutoka Kenya[1]. Ndiye mwanamke wa kwanza wa Kenya kufuzu kama mtaalamu wa famasia ya nyuklia (radiopharmacy). Mpaka Julai 2021, alikuwa mwanamke pekee kati ya watatu wenye ujuzi huo nchini Kenya. Hivi sasa ni mhadhiri wa famasia ya nyuklia katika Hospitali ya Mafunzo, Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH).
Marejeo
hariri- ↑ "Dr. Elizabeth Itotia | FACULTY OF HEALTH SCIENCES". healthsciences.uonbi.ac.ke. Iliwekwa mnamo 2024-08-25.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Itotia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |