Elizabeth Letts
Mwandishi wa Marekani
Elizabeth Letts (alizaliwa Houston, Texas, 23 Juni 1961) ni mwandishi wa Marekani.
Biografia
haririElizabeth Letts alikulia Kusini mwa California. Akiwa kijana, alikuwa mshindani wa mashindano ya "equestrian three-day eventer". Alisoma katika Shule ya Northfield Mount Hermon na Chuo cha Yale ambapo alikita katika somo la Historia. Alihudumu katika Kikosi cha Amani nchini Moroko.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Letts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |